Posts

Showing posts from May, 2018

PRESHA YA MACHO INAVYOWEZA KUSABABISHA UPOFU.

Image
Na Jacqueline Benson. PRESHA ya macho ni mingoni mwa maradhi ambayo yanaweza kumsababishia mtu kupata upofu wa kudumu endapo hatapatiwa tiba mapema. Magonjwa hasa yanayoshambulia mtoto wa jicho na uoni hafifu yanaweza kumuathiri mtu kulingana na mfumo wake wa maisha na umri huku baadhi ya magonjwa kama kisukari na   kisonono   yanachangia maradhi haya kwa kiasi kikubwa na kusababisha ulemavu wa macho . Ugonjwa wa kisukari pamoja na kisonono huweza kusababisha ugonjwa wa macho na matatizo mengine kutokana na kushusha kinga ya mwili(chembe hai nyeupe) na kutengeneza mazingira rahisi ya mwili kushambuliwa.   Kwa mujibu wa Daktari Bingwa wa magonjwa ya macho na Upasuaji wa retina kutoka Hospitali ya   Agarwal’s   Dar es Salaam, Dk.Emeritus Chibuga alisema kuwa presha ya macho ni ugonjwa unaotokana na kutokuwa na uwiano kwenye mfumo unaotengeneza na kutoa maji   kwenye jicho . Dkt Emeritus aliongeza kuwa kiasi cha utengenezaji wa maji katika...

POLISI ZANZIBAR WAMSHIKILIA MTUHUMIWA WA ULAWITI

Image
Na Abdulrahim Shekhe. Jeshi     la    Polisi     visiwani    Zanzibar   linamshikilia   mtuhumiwa   wa   kesi   ya   ulawiti   Hassan   Aboud   Talib     maarufu   kwa   jina   la   ‘Kiringo’   kwa   kosa   la   kumlawiti mtoto   mwenye     umri     wa     miaka     13     jina     limehifadhiwa. Kamanda  wa  polisi  mkoa  wa  mjini  magharibi  Hassan  Nasri  alidhibitisha kukamatwa  kwa  mtuhumiwa  huyo mwenye  umri  wa  miaka  45  na amepelekwa  kwenye  kituo  cha  polisi  Fuoni  mjini  Unguja . “Ni  kweli   Kiringo   tumemkamata  na  yupo  kwenye  mikono  ya   jeshi  la  polisi  k...